MAJALIWA: WAKUU WA MIKOA MSIWAZUIE WANANCHI KUINGIZA MBOLEA NCHINI.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza  Wakuu wa Mikoa hasa ya mipakani kutozuia wananchi kuingiza mbolea kutoka nje ya nchi na vilevile kutoruhusu utoaji wa mbolea kutoka ndani kwenda nje ya nchi ili kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mbolea. Ametoa agizo hilo leo (Ijumaa, Novemba 12, 2021) wakati akiahirisha Mkutano wa tano wa Bunge la 12